• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( 7 Agosti-11 Agosti)

  (GMT+08:00) 2017-08-11 18:20:21

  Raia 235 wa Afghanistan waliotekwa nyara na kundi lenye siasa kali waokolewa

  Raia 235 wa Afghanistan waliotekwa nyara na kundi lenye siasa kali mkoani Saripul, kaskazini mwa nchi hiyo wameokolewa.

  Televisheni ya Afghanistan imethibitisha taarifa iliyotangazwa na serikali ya huko ikisema, raia hao waliokolewa asubuhi ya tarehe 8 na kupelekwa mjini Saripul.

  Idara husika za serikali zilitoa msaada wa chakula na maji kwa waathirika hao.

  Pia imesema kikosi cha kulinda usalama cha taifa kinawasaka wateka nyara ili kulinda usalama wa raia wa huko.

  1  2  3  4  5  6  7  8  9  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako