• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (16 Septemba-22 Septemba)

  (GMT+08:00) 2017-09-22 17:35:24

  Tetemeko la ardhi Mexico lauwa zaidi ya watu 220

  Zaidi ya watu 220 wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kukumba mji mkuu wa Mexico, Mexico City.

  Rais Enrique Peña Nieto amesema watoto 20 wamefariki na wengine 30 hawajulikani waliko baada ya shule moja kuporomoka.

  Tetetemeko hilo lilikuwa na la ukubwa wa 7.1 katika vipimo vya ritcher na lilidondosha karibu majengo 30 katika mji huo wa Mexico city.

  Juhudi za kuwatafuta waliofukiwa na kifusi kufuatia Tetemeko hilo zinaendelea licha ya matumaini madogo, kuwakuta hai.

  Wafanyakazi wa majanga ya dharura na wale wa kujitolewa wamekuwa wakichimbua vifusi kwa kutumia mikono.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako