• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Februari 17-Februari 23)

  (GMT+08:00) 2018-02-23 19:00:55

  Abiria zaidi ya bilioni 1.4 wa China wasafiri kwenye sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China

  Wizara ya mawasiliano na uchukuzi ya China inasema kuwa, kati ya tarehe 1 hadi 20 Februari, abiria wapatao bilioni 1.4 wamesafiri kwa njia ya reli, magari, meli na ndege, kiasi ambacho kimeshuka ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huo.

  Idara ya usafiri wa ndege za adiria ya China imesema kuwa, katika kipindi cha sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China, abiria milioni 11.4 wamesafiri kwa ndege, ambayo ni ongezeko la asilimia 16.1 kuliko ile ya mwaka jana katika wakati kama huo.

  Habari nyingine kutoka kampuni ya reli ya China zinasema kuwa, idadi ya abiria wanaopanda treni imefikia kilele tarehe 21, ambapo zaidi milioni 12 wamesafiri.


  1  2  3  4  5  6  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako