• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 26-Juni 1)

    (GMT+08:00) 2018-06-01 20:27:58

    Ilikuwa ni wiki yenye vituko vingi hasa nchini Afrika Kusini baada ya raia wa huko kushangazwa ba densi ya 'utupu' ya kundi moja la kwaya ya shule nchini Afrika Kusini ambayo ilivutia hisia za uchunguzi kufanywa kutoka kwa waziri wa elimu nchini humo.

    Angie Motshekga alisema kuwa alisikitika baada ya kuona kanda ya video ya wasichana hao wa Xhosa wakicheza densi yao huku wakiwa wamevalia nguo inayojulikana kama "inkciyo".

    Waziri huyo wa elimu ya msingi alisema kuwa ni ukosefu wa heshima kwenda kinyume na maadili ya tamaduni za taifa hilo. Hatahivyo kiongozi wa kwaya hiyo ametetea hatua yao akisema kuwa ni fahari kubwa. Kabila la Xhsoa ndilo kabila la pili kwa ukubwa nchini Afrika Kusini.


    1  2  3  4  5  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako