• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 27-Novemba 2)

  (GMT+08:00) 2018-11-02 19:27:06

  Kisanduku cheusi cha ndege ya Indonesia iliyopata ajali chapatikana

  Timu za uokoaji zimegundua kisanduku cheusi kimoja, matairi na mabaki mengine ya ndege ya Shirika la Lion Air la Indonesia iliyopata ajali na kuanguka baharini Jumatatu magharibi mwa Indonesia. Hata hivyo bado haijathibitishwa kama kisanduku hicho ni cha kurekodi safari za ndege au kunasa sauti za chumba cha rubani. Juhudi zinaendelea kutafuta kisanduku kingine.


  1  2  3  4  5  6  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako