• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 9-February 15)

  (GMT+08:00) 2019-02-15 21:02:03

  Watu 5 wafariki kwenye ajali ya ndege ndogo Kenya

  Watu 5 wamefafiki wiki hiii baada ya ndege moja ndogo kuanguka kwenye eneo la Londiani, kaunti ya Kericho nchini Kenya.

  Wanne wa waliofariki walikuwa ni watalii wa kigeni.

  polisi wanasema kuwa kuwa ndege hiyo ilipata matatizo ya kiufundi.

  Ndege hiyo ilikuwa ikisafirisha watu hao kutoka eneo la Ol Kiombo kwenye hifadhi ya Masai Mara kwenda mjini Lodwar kaunti yaTurkana.

  Kamanda wa kitengo cha polisi wa anga Rodgers Mbithi amethibitisha ajali hiyo ikihusisha ndege aina ya Cesna 206-5-Y BSE.

  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako