• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 13-Aprili 19)

  (GMT+08:00) 2019-04-19 19:08:13

  Nusrat Jahan Rafi: Achomwa hadi kufa kwa kuripoti unyanyasaji wa kingono

  Nusrat Jahan Rafi alimwagiwa mafuta ya taa na kuchomwa moto shuleni kwake katika mji wa Bangladesh. yapata wiki mbili kabla, alikuwa amewasilisha malalamiko ya unyanyasaji wa kingonoi dhidi ya mkuu wake wa shule..

  Ushupavu wake wa kuzungumzia wazi unyanyasaji wa kingono, kifo chake kimeibua hisia tofauti miongoni mwa raia wa Bangladesh na kuonyesha namna waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono wanavyokabiliwa na hatari katika taifa hilo lenye itikadi kali lililopo kusini mwa bara la Asia.

  Nusrat, ambae alikuwa na umri w amiaka 19, alikuwa anatoka katika mji mdoto wa Feni, uliopo maili 100 kutoka mji mkuu Dhaka. Alikuwa anasoma katika shule ya Kiislamu ya madrassa, tarehe 7 Machi alisema kuwa Mkuu wa shule alimuita ofisini kwake na kumtomasa. Kabla mambo hayajafika mbali alikimbia nje ya ofisi. Wasichana wengi na wanawake wenye umri mdogo nchini Bangladesh huamua kunyamaza kimya wanapofanyiwa unyanyasaji wa kingono.


  1  2  3  4  5  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako