• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (June 14-June 21)

    (GMT+08:00) 2019-06-29 15:00:56

    Rais Donald Trump azindua kampeni yake ya urais kwa awamu ya pili mfululizo

    Rais Donald Trump wa Marekani amehutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Orlando, Florida, akitangaza rasmi kuanzisha kampeni ya kugombea urais kwa awamu ya pili mfululizo.

    Kwenye hotuba yake rais Trump amevipinga vyombo vya habari na wagombea wa Chama cha Democrat, huku akisisitiza mafanikio yaliyopatikana katika miaka miwili na nusu iliyopita tangu alipoingia madarakani.

    Gazeti la New York Times linaona ingawa hotuba hiyo ilitangazwa kama ni uzinduzi wa kampeni zya urais, lakini Bw. Trump hakutoa sera yoyote yenye maana, alirudia tu maneno aliyotoa katika mikutano kadhaa ya hadhara iliyopita.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako