• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi na biashara 11-12-2019

    (GMT+08:00) 2019-12-11 20:18:08

    Tanzania: Jiji la Dar es Salaam linashuhudia uhaba wa nyama kutokana na kuongezeka kwa wanunuzi. Hali hii imesababisha bei ya nyama kupanda, kwa sababu ya uchache wake. Kwa sasa, inakisiwa kwamba kilo moja ya nyama itauzwa zaidi ya dola nne ambazo ni sawa na shilingi Tsh 10,000, bei ya kawaida msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya.

    Bei ya jumla ya nyama ya ng'ombe imepanda kwa asilimia 21 kwa mwezi mmoja uliopita. Kwa sasa kilo moja ya nyama inauzwa kati ya shilingi 6,500 hadi 8,500 pesa za Tanzania.

    Uhaba wa usamabazaji ng'ombe wa kuchinjwa umesababisha hali hii, huku ng;ombe kati ya 400 na 450 wakichinjwa kila siku. Awali, takriban ng'ombe 500 hadi 650 walikuwa wakichinjwa.


    1  2  3  4  5  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako