• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi na biashara 11-12-2019

    (GMT+08:00) 2019-12-11 20:18:08

    Sudan:Serikali ya Marekani imeweka vikwazo vya kifedha kwa maafisa watano wa usalama wa Sudan Kusini, kwa madai ya kuwateka nyara na kuwadhulumu watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya.

    Vikwazo hivi vinajiri majuma mawili baada ya Washington kumwondoa balozi wake Thoma Hushek, jijini Juba baada ya vute vikuvute inayoendelea na kukosa kuunda serikali ya mpito.

    Huenda maafisa hawa watano wa usalama wakazuiliwa kufanya biashara yoyote ama kumiliki mali nchini Marekani, kwa kuhusishwa na tukio la utekaji nyara na hata kumuua wakili wa kutetea haki za binadamu na mwanasisa wa upinzani.


    1  2  3  4  5  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako