• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 29-Machi 6)

    (GMT+08:00) 2020-03-06 20:06:50

    Cipriano Cassama, ajiuzulu Urais baada ya siku moja tu kupita tangu kukaa madarakani

    Cipriano Cassama ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Urais, Guinea-Bissau baada ya kukaa madarakani kwa siku moja, akisema maisha yake yalikuwa hatarini.

    Cipriano Cassama alichaguliwa na wabunge kuwa rais wa mpito baada ya chaguzi zilizo susiwa mwezi Disemba.

    "Leo hii maisha yangu yamekuwa hatarini, familia yangu imekuwa hatarini, maisha ya watu wengi yamekuwa hatarini pia, na ndiyo maana nimeamua kujiuzulu." amesema

    Hatua hii ni pamoja na ukweli kuwa Jenerali wa jeshi wa zamani Umaro Cissoko Embaló tayari alikwisha apishwa kuwa rais katika hoteli mji mkuu wa nchi hiyo, Bissau.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako