• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 29-Machi 6)

    (GMT+08:00) 2020-03-06 20:06:50

    Cassamá amesema nini?

    Bwana Cassamá amesema hakuwa na cha kufanya isipokuwa kuondoka madarakani kwa kuwa amekuwa akikabiliwa na vitisho vya kuuawa.

    "Sina ulinzi. Maisha yangu yako hatarini, maisha ya familia yangu yako hatarini,maisha ya watu wa taifa hili yako hatarini. Siwezi kukubali hali hii, ndio sababu nikachukua uamuzi huu," aliwaambia waandishi wa habari.

    Cassamá hakusema ni nani aliyemtishia maisha yake. Mmoja wao, Aristides Gomes, alisema maafisa wa jeshi walivamia nyumbani kwake mjini Bissau ili kumshurutisha ajiuzulu.

    "Walitishia kuwaua maafisa wa usalama ikiwa hawatajiuzulu, na kunitishia kuniua kama sitajiuzulu nafasi ambayo nilipatiwa kwa muibu wa sheria," alisema.

    Jumuia ya kiuchumi ya nchi za magharibi mwa Afrika (Ecowas), imetoa wito wa kusitishwa mvutano huo.

    Bwana Embaló amesema anataka kutatua mzozo na kuipatia maendeleo Guinea-Bissau, moja kati ya nchi masikini duniani, iliyo na watu ilioni 1.6.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako