• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 25-Mei 1)

    (GMT+08:00) 2020-05-01 19:54:56

    Uzinduzi wa makubaliano ya eneo la biashara huria la Afrika waahirishwa kutokana maambukizi ya Corona

    Katibu mkuu wa eneo huria la bara la Afrika Bw. Wamkele Mene amesema, utekelezaji wa makubaliano ya eneo la biashara huria la bara la Afrika hautaanza Julai 1 kama ilivyopangwa kutokana na mlipuko wa COVID-19. Lakini Bw. Mene hakutaja tarehe halisi ya kuanza kutekelezwa kwa makubaliano hayo.

    Eneo hilo lenye nchi 55 likifanikiwa kuzinduliwa, litaunda jumuiya mpya ya kibiashara yenye uchumi wenye thamani ya dola trilioni 3.4 za kimarekani na watu bilioni 1.3, ambayo itakuwa jumuiya kubwa zaidi baada ya Shirika la WTO lililoundwa mwaka 1994.


    1  2  3  4  5  6  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako