Watu waipongeza China kwa kupata maendeleo makubwa katika uchumi wa kidijitali 2018-04-23 Ikiwa imetimia miaka 40 tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, mkutano wa kwanza wa kilele wa kujenga China ya kidijitali umefanyika huko Fuzhou, kusini mashariki mwa China. Washiriki wa mkutano huo wanaona mkutano huo utaifahamisha zaidi dunia kuhusu maendeleo iliyopata China katika sekta ya uchumi wa kidijitali katika miaka ya hivi karibuni, kuhimiza mawasiliano na mabadilishano ya uzoefu kati ya China na nchi za nje na kuimarisha zaidi ushirikiano. |
Rais wa China asema daima China haitasitisha mageuzi yake 2018-04-11 Leo asubuhi, rais Xi Jinping wa China amekutana na wakurugenzi wa sasa na wajao wa Baraza la Asia la Boao, na kuzungumza na wajasiriamali wa ndani na nje ya China wanaohudhuria mkutano wa mwaka 2018 wa Baraza hilo huko Boao, mkoani Hainan. |
China yatangaza hatua nne za kufungua zaidi mlango wake kwa nje 2018-04-10 Leo asubuhi, mkutano wa mwaka wa 2018 wa Baraza la Asia la Boao umefunguliwa huko Boao, mkoani Hainan, China. Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba akitangaza hatua nne muhimu zinazolenga kuimarisha ufunguaji mlango wa China kwa nje zaidi. |
China yajitahidi kuboresha sifa za bidhaa 2018-01-10 Mkutano wa mwaka 2018 wa kazi za usimamizi na ukaguzi wa sifa za bidhaa na ukaguzi wa maradhi umefanyika jana mjini Beijing. Takwimu zilizotolewa kwenye mkutano huo zinaonesha kuwa, kiwango cha bidhaa zilizofikia vigezo katika ukaguzi kimezidi asilimia 90 katika miaka minne mfululizo. Baadaye China itaendelea na juhudi za kuboresha sifa ya bidhaa, ili kujijenga kuwa nchi yenye bidhaa bora zaidi. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |