• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maisha ya wanafunzi wa Afrika

    (GMT+08:00) 2009-12-30 18:59:29
    Kutembea mji unaosifiwa kuwa ni peponi

    Kila mwaka wageni kutoka nchi za nje walioko mjini Hangzhou wanaalikwa kutembelea sehemu mbalimbali ya mji huo ambapo wanaweza kufahamishwa historia, utamaduni na shughuli za utalii za huko. Katika majira ya mchipuko ya mwaka huu, sisi wanafunzi na walimu kutoka Chuo Kikuu cha Zhejiang tulialikwa kutembelea sehemu nyingi maarufu za kihistoria, na shule moja nzuri. Aidha tulionja vyakula vizuri vya mji wa Hangzhou. Napenda sana vyakula hivyo, lakini vimenifanya ninenepe sana, na hali hii inanisikitisha sana.


    1 2 3 4
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako