• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maisha ya wanafunzi wa Afrika

    (GMT+08:00) 2009-12-30 18:59:29
    Kukutana na marafiki

    Siku moja nilipokuwa nikitembelea mjini Shenyang, nilikuta wazimbabwe kadhaa wengine wanaoishi nchini China. Msichana yule mrefu anayekaa karibu nami kwenye picha alitoka mjini Shanghai. Nilimwambia kuwa yeye anafanana sana na mtu mmoja ninayemfahamu. Aliniuliza kuwa mtu huyo ni nani. Nilisema huyo alikuwa mwanafunzi mwenzangu niliposoma katika shule ya sekondari, na anaitwa Qusay. Msichana huyo alishangaa sana na kusema ana kaka mmoja mdogo aitwaye Qusay. Tuliangalia picha za watu wawili hao wanaoitwa Qusay, na tuliona kumbe picha hizo ni za Qusay huyo huyo. Baadaye tulikuwa marafiki. Bahati kweli ni kitu cha ajabu.


    1 2 3 4
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako