• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Wasomaji washindi wa Chemsha bongo kwenye mtandao kuhusu " Xinjiang through my lens" watembelea soko kubwa mkoani Xinjiang
    Wasomaji 11 kutoka nchi mbalimbali pamoja na China ambao wamepata ushindi katika chemsha bongo kwenye mtandao wa internet kuhusu " Xinjiang through my lens" walifika Urumuqi tarehe 10, baadaye walitembelea kwa furaha Bazaar yaani soko kubwa la kimataifa la Xinjiang, ambalo pia ni soko kubwa zaidi dunia.
    • Hafla ya kutoa tuzo kwa washindi wa shughuli ya "Xinjiang Through My Lens" yafanyika huko Urumqi, China
    Hafla ya kutoa tuzo kwa washindi wa shughuli ya "Xinjiang Through My Lens" iliyoandaliwa na Radio China Kimataifa na ofisi ya habari ya serikali ya mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyghur imefanyika leo tarehe 11 usiku huko Urumqi, China.
    • Hali ya Xinjiang
    Mkoa unaojiendesha wa kabila la wauigur wa Xingjian kwa ufupi unaitwa Xingjian. Uko katika sehemu ya kaskazini magharibi ya China na katikati ya sehemu ya bara ya Ulaya na Asia, ina eneo la kilomita za mraba zaidi ya milioni 1.66 na ni wa kwanza kwa ukubwa miongoni mwa mikoa ya China.
    • Kabila la Wauyghur
    Kabila la Wauyghur ni moja ya makabila yaliyokuweko toka zamani za kale, "Uyghur" ni jina wanalojiita, ambalo maana yake ni "umoja" au muungano". Kabila la Wauyghur, ambalo idadi ya watu inazidi milioni 7, ni kubwa kwenye sehemu ya Xinjiang. Kabila hilo la watu lina lugha na maandishi yake.
    • Kabila la wa Tadzhik
    Idadi ya watu wa kabila la watadzhik mkoani Xinjiang imefikia zaidi ya elfu 36, na wengi wao wanaishi kwenye wila inayojiendesha ya Tadzhik. Watu wengi wa kabila hilo ni wafugaji na pia wanafanya shughuli za kilimo.
    • Watu wa Kabila la Wakazakh
    Xinjiang ina idadi ya wakazakh kiasi cha milioni 1.2, wengi wao wanaishi kwenye jimbo linalojiendesha la kabila la wakazakh, sehemu ya kaskazini ya Xinjiang. Kabila la wakazakh lina lugha na maandishi yake yenyewe.
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako