4: Maingiliano na Nchi za Nje

Nyaraka muhimu za kidiplomasia za China

China na Marekani :

"Taarifa ya pamoja ya China na Marekani" (Taarifa ya Shanghai) (mwaka 1972)

"Taarifa ya China na Marekani ya kuwekeana uhusiano wa kibalozi"

(mwaka 1978)

"Taarifa ya Tarehe 17,Agosti" (mwaka 1982)

China na Japan:

"Taarifa ya pamoja ya China na Japan" (mwaka 1972)

"Mkataba wa amani na urafiki wa China na Japan"(mwaka 1978)

"Taarifa ya pamoja ya China na Japan" (mwaka 1972)

China na Russia:

"Mkataba wa ujirani mwema, urafiki na ushirikiano kati ya Jamhuri ya watu wa China Shirikisho la Russia" (mwaka 2002)

China na Uingereza:

"Taarifa ya pamoja ya China na Uingereza kuhusu suala la Hong Kong" (mwaka 1984)

"Taarifa ya pamoja ya China na Uingereza" (mwaka 1998"


1 2 3 4 5 6 7