Bw. Maxence Melo Mubyazi ni mhandisi na meneja mkuu wa kampuni ya tovuti ya Jamiiforums ya Tanzania.

Alisema, "i am delighted to be nominated and be one of those who will take part in the activity. It will be a great opportunity for me to be in Xinjiang and see what i have been hearing from CRI's swahili service broadcast and what i have seen in "Xinjiang through my lens."

• Tarehe 14 Julai
Tumetembelea vivutio kadhaa mjini Kanasi. Tumetembelea Milima ya Hifadhi ya asili ya Kanasi ambapo nako kuna ziwa kama la Tianchi...
• Tarehe 13 Julai 2012
Tumetembelea ziwa la Paradiso (Tianchi); ziwa hili lipo Milimani jirani na jiji la Urumqi...
More>>
• Shughuli ya "Xinjiang through my lens"
• Wasomaji washindi wa Chemsha bongo kwenye mtandao kuhusu " Xinjiang through my lens" watembelea soko kubwa mkoani Xinjiang
Wasomaji 11 kutoka nchi mbalimbali pamoja na China ambao wamepata ushindi katika chemsha bongo kwenye mtandao wa internet kuhusu " Xinjiang through my lens" walifika Urumuqi tarehe 10, baadaye walitembelea kwa furaha Bazaar yaani soko kubwa la kimataifa la Xinjiang, ambalo pia ni soko kubwa zaidi dunia.
• Hafla ya kutoa tuzo kwa washindi wa shughuli ya "Xinjiang Through My Lens" yafanyika huko Urumqi, China
Hafla ya kutoa tuzo kwa washindi wa shughuli ya "Xinjiang Through My Lens" iliyoandaliwa na Radio China Kimataifa na ofisi ya habari ya serikali ya mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyghur imefanyika leo tarehe 11 usiku huko Urumqi, China.
More>>
• Wasikilizaji washindi

• Bw. Wang Jimin kutoka China

• Bw. Said Ahmed kutoka Jordan

• Bw. Denis G. Campbell kutoka Uingereza

• Bw. Samsul Said  kutoka Malaysia

• Bw. Maxence Melo Mubyazi kutoka Tanzania

• Bibi Eda Ozsoy Dogan kutoka Uturuki

• Bw. Remon Fauzi kutoka Indonesia

• Bw. Hassan Rouhvand kutoka Iran

• Bw. Salisu Muhammad Dawanau kutoka Nigeria

• Bw. Raja Mohsin Khalid kutoka Pakistan

• Bw. Mohamed Said kutoa Misri
• picha za Xinjiang
• 3-5 ziwa la Kanasi
Ziwa la Kanasi liko katika wilaya ya Buerjin iliyoko katika sehemu ya kaskazini yenye umbali wa kilomita 150 kutoka mji mkuu wa wilaya. Ziwa hilo liko ndani ya msitu mnene kwenye sehemu ya juu ya mlima likiwa na urefu wa mita 1374 juu ya usawa wa bahari, eneo la ziwa hilo ni kilomita za mraba 45.73 na sehemu yenye maji mengi zaidi ina kina cha mita 188.5. Pembezoni mwa ziwa la Kanasi ni milima mirefu yenye barafu na theluji, mandhari yake ya asili inapendeza sana.
More>>
• Habari za lugha mbalimbali

• Kihausa

• Kiurdu

• Kituruki

• Kiswahili

• Kiajemi

• Kimalay

• Kiindonesia

• Kiarabu

• Kiingereza