• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Tarehe 14 Julai
    Tumetembelea vivutio kadhaa mjini Kanasi. Tumetembelea Milima ya Hifadhi ya asili ya Kanasi ambapo nako kuna ziwa kama la Tianchi...
    • Tarehe 13 Julai 2012
    Tumetembelea ziwa la Paradiso (Tianchi); ziwa hili lipo Milimani jirani na jiji la Urumqi...
    • Tarehe 12 Julai 2012
    Tumetembelea Mlima unaowaka katika eneo la Turpan mkoani Xinjiang. Tumepata fursa ya kujionea mapango ya ma-Buddha...
    • Tuliandaliwa hafla ya kukaribishwa Xinjiang na kupewa tuzo...
    Sikutarajia kupata zawadi/tuzo hii. Zote zilikuwa nzuri na ni faraja kubwa kwangu na taifa langu la Tanzania...
    • Tumetembelea jumba la Buddha
    Nimeshangaa kwani sikujua kuwa alikuwa na wafuasi (mitume) 12 kama Yesu ninayemwabudu...
    • 11/07/2012
    Tumeenda Makumbusho ya mkoa wa Xinjiang na kujionea mambo mengi juu ya tamaduni za watu wa mkoa huu na historia yao...
    • Tumetembelea Tianshannet
    Nimependa jitihada zao katika kusambaza habari kwa njia ya mtandao tena kwa lugha zote katika mkoa wa Xinjiang....
    • 10 Julai 2012
    Tumetembelea kampuni ya Qarluq ambayo inafanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya Apple ya Marekani...
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako