• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Septemba 10-Septemba 16)

    (GMT+08:00) 2016-09-16 16:34:49

    Naibu waziri mkuu wa China ataka kuongezwa juhudi ili kuendeleza Ukanda Mmoja na Njia Moja

    Naibu waziri mkuu wa China Zhang Gaoli leo ametoa wito wa kuongeza juhudi kwenye mpango wa Ukanda Mmoja na Njia Moja ili kuhakikisha unanufaisha watu wanaopitiwa na njia hiyo.

    Akiongea kwenye mkutano Bw. Zhang amesema mpango huo unapaswa kusaidia uratibu wa sera, uunganishaji wa miundo mbinu, biashara isiyo na ugumu, ushirikiano wa kifedha na maelewano miongoni mwa watu wa ukanda na njia hiyo.

    Ameongeza kuwa maeneo yanayopewa kipaumbele kwenye mpango huo ni pamoja na ujenzi wa jukwaa la kuongeza ushirikiano, pamoja na kuwepo kwa njia ya hariri, nzuri, ya kijani, na ya amani, na kwamba maendeleo na matokeo ya mpango wa Ukanda Mmoja na Njia Moja yamekuwa makubwa kuliko ilivyotegemewa.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako