• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 24-Septemba 30)

  (GMT+08:00) 2016-09-30 18:18:00

  1. Nchini Marekani kwa habari ambayo ilivutia vichwa vingi vya habari kuhusu mdahalo urais nchini Marekani. Wananchi wa Marekani pamoja na wataalam wamesema, Bi. Hillary Clinton ameshinda katika mdahalo wa kwanza wa wagombea urais uliofanyika tarehe 26 usiku nchini Marekani. Muda mfupi baada ya mdahalo huo kati ya Bi. Clinton kutoka chama cha Democratic na mpinzani wake Donald Trump wa Republican, Bi. Clinton alipata ushindi mkubwa huku asilimia 62 ya Wamarekani walioangalia mdahalo huo wakisema Clinton ameshinda, ikilinganishwa na asilimia 27 waliosema Trump ameshinda. Mdahalo huo ni wa kwanza kati ya mitatu itakayofanyika kabla ya uchaguzi wa rais utakaofanyika Novemba 3 mwaka huu.

  1 2 3 4 5 6 7
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako