• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 24-Septemba 30)

    (GMT+08:00) 2016-09-30 18:18:00

    6. Kwa upande wa Afrika habari iliyofuatiliwa zaidi wiki hii ni ile ya pendekezo la Namibia lililotolewa kwenye mkutano wa 17 uliofanyika mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Nchi 57 zilizosaini makubaliano ya biashara ya kimataifa ya wanyamapori na mimea iliyoko hatarini kutoweka (CITES) zimepiga kura ya kupinga pendekezo la Namibia kwenye mkutano wa 17 uliofanyika mjini Johannesburg, linalotaka kuondolewa kwa vizuizi vyote kwa nchi hiyo katika biashara ya ndani ya pembe za ndovu na ya nje ya tembo hai.

    Kukataliwa kwa pendekezo hilo kumepongezwa na Mfuko wa Kimataifa wa Ustawi wa Wanyama (IFAW), Mkurugenzi mtendaji wa IFAW kanda ya Asia Bibi Grace Gabriel amesema kupiga marufuku ya kikanda ya biashara hiyo kumeonyesha ufanisi.

    Wakati baadhi ya nchi za Africa zinataka soko la ndani la pembe za ndovu lifungwe, wataalamu wengine wanatoa wito wa hatua tofauti zichukuliwe kulingana na hali halisi ya nchi badala ya marufuku ya jumla.

    1 2 3 4 5 6 7
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako