• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 15-Oktoba 21)

    (GMT+08:00) 2016-10-21 19:05:46

    Russia yatangaza kurefusha mpango wa kusimamisha vita huko Aleppo kwa siku moja

    Waziri wa ulinzi wa Russia Bw. Sergei Shoigu ametangaza kurefusha mpango wa kusimamisha vita huko Aleppo kwa siku moja.

    Bw. Shoigu amesema uamuzi huo umefikiwa kutokana na maelekezo ya rais Putin wa Russia, na unaungwa mkono na viongozi wa Syria.

    Usimamishaji vita huo ulioanza kutekelezwa jana asubuhi, unalenga kuwakwamua wapinzani na raia wa kawaida walio mashariki mwa Aleppo.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako