• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 15-Oktoba 21)

    (GMT+08:00) 2016-10-21 19:05:46

    Wanafunzi waendelea kuandama Afrika Kusini

    Nchini Afrika Kusini, hali ya sintofahamu imeendelea kushuhudiwa katika vyuo vikuu.

    Alhamisi maandamano mapya yamefanyika katika vyuo vikuu nchini humo huku kukizuka mapigano kati ya wanafunzi na polisi yalitiokea katika mji wa Johannesburg hasa, katika mabweni ya kitivo maarufu cha Wits na mbele ya makao makuu ya serikali mjini Pretoria ambapo wanafunzi walikuwa wamekusanyika.

    Wanafunzi wamekuwa wakiandama kwa mwezi mmoja sasa wakitaka wapewe kwa elimu ya juu ya bure. Mzozo huo ulianza baada ya serikali kutangaza ongezeko la ada ya chuo kikuu kwa mwaka 2017.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako