• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 31-Januari 6)

  (GMT+08:00) 2017-01-06 18:58:05

  Wafungwa 10,000 nchini Ethiopia waachiliwa huru

  Na hatimaye kwa ufupi tu ni kwamba Wafungwa 10,000 nchini Ethiopia wameachiliwa huru katika eneo lenye vurugu la Oromia, inasema radio ya serikali nchini umo.

  Haijulikanikama wafungwa hao walikuwa wamezuiliwa wakati ilipotangazwa hali ya hatari nchini humo au la.

  Walioachiliwa kulingana na Radio ya serikali EBC ni wazee, watoto, wagonjwa na wale waliokuwa wamezuiliwa na familia.


  1 2 3 4 5 6 7 8 9
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako