• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 31-Januari 6)

  (GMT+08:00) 2017-01-06 18:58:05

  Mkuu wa jeshi nchini Gambia Ousman Badjie amesema anamuunga mkono rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh.

  Tanzania la Badjie linakuja siku chache tu baada ya viongozi wa mungano wa kiuchumi wa Afrika Magharibi ECOWAS kutishia kutumia jeshi kumwondoa Jameh baada ya muda wake kukamilika Januari 19.

  Kwenye uchaguzi uliopita kiongozi wa upinzani nchini humo Adama Barrow alitwaa ushindi lakini Jameh akapinga matokeo hayo licha ya kwamba mwanzoni alikuwa amekubali kushindwa.


  1 2 3 4 5 6 7 8 9
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako