• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Aprili-7 Aprili)

    (GMT+08:00) 2017-04-07 20:20:56

    4.Rwanda yaadhimisha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994

    Maadhimisho ya 23 ya kuwakumbuka wahanga wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rawanda yamefanyika wiki hii mjini Kigali.

    Rwanda imeingia rasmi kwenye wiki ya maadhimisho ambapo shughuli mbalimbali zimefanyika kwenye ngazi ya taifa na ya mashinani.

    Taarifa iliyotolewa na serikali inasema katika wiki hii wanyarwanda wote watasisitiza ahadi ya kupambana na itikadi ya mauaji ya kimbari na kutathmini maendeleo ya nchi kwenye maafikiano na mashikamano katika miaka 23 iliyopita.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako