• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Aprili-7 Aprili)

    (GMT+08:00) 2017-04-07 20:20:56

    Upinzani wa serikali ya Afrika Kusini yaanda maandamno

    Makundi ya upionzania ya serikali ya Afrika Kusini yameandaa maandamano ya vyama vya upinzani Afrika kusini pamoja na kundi linalo jiita Save South Africa kumshinikiza Rais Jacob Zuma ang'atuke madarakani.

    Maandamano hayo yamefanyika sehemu tofauti nchini humo.

    Wanajeshi wa uMkhonto we Sizwe maarufu MK wametawanywa kushika doria nje ya makao makuu ya chama cha ANC mjini Johannesburg.

    Waziri anayeshughulika na masuala ya polisi nchini awali amewaonya wale wote watakao fanya fujo na kuharibu mali ya umma, sheria itafuata mkondo.

    Idara ya polisi inachunguza malalamiko yaliowasilishwa na baadhi ya maafisa wa juu wa chama hicho kwamba Jacob Zuma hakushauriana nao kuhusu suala la kufanyia baraza la mawaziri mageuzi.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako