• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Aprili-7 Aprili)

    (GMT+08:00) 2017-04-07 20:20:56

    Umoja wa Mataifa wasema Marekani kupunguza utoaji fedha kwa UNFPA kutaathiri vibaya afya ya wanawake wenye hali duni

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amesema uamuzi wa Marekani kupunguza utoaji fedha kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu UNFPA, utaathiri vibaya afya ya wanawake na wasichana wanaoishi katika hali duni duniani.

    Kauli hiyo imekuja baada ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani kutangaza kupunguza utoaji wa dola milioni 32.5 kwa UNFPA kwa mwaka huu, kutokana na kulituhumu Shirika hilo kuunga mkono na kushiriki kwenye usimamizi wa programu ya kulazmisha kutoa mimba nchini China, madai ambayo UNFPA inayakanusha.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako