• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (16 Juni-23 Juni)

    (GMT+08:00) 2017-06-23 19:43:37

    3-Watu 3 wauwawa na Al sahabaab Somalia

    Watu watatu wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab mapema leo katika mjini Elwak, kaunti ya Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya.

    Kamishna wa kaunti hiyo Bw Mohamud Saleh amesema kwamba askari polisi mmoja na raia wawili wameuawa katika shambulizi hilo ambapo wapiganaji hao walikimbia kuelekea mpaka wa Somalia.

    Ameongeza kwamba shambulizi hilo limetokea karibu na benki moja na kwamba washambuliaji waliwalenga maofisa usalama, na kuwa huenda idadi ya vifo ikaongezeka.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako