• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (16 Juni-23 Juni)

    (GMT+08:00) 2017-06-23 19:43:37

    4-Donald Trumb akutana na Yang Jiechi wa China

    Rais Donald Trump wa Marekani jana amekutana na mjumbe wa taifa la China Yang Jiechi katika Ikulu ya Marekani.

    Katika mazungumzo yao, Rais Trump amesema anafurahi kuona ushirikiano kati ya China na Marekani unapata maendeleo makubwa tangu alipokutana na rais Xi Jinping huko Mar-a-Lago. Pia rais Trump amesema anapenda kufanya ziara nchini China ndani ya mwaka huu.

    Kwa upande wake, Yang ambaye anashiriki kwenye mazungumzo ya kwanza kati ya China na Marekani kuhusu dipolomasia na usalama yanayofanyika Washington, amesema mazungumzo hayo ni hatua muhimu ya kutimiza maoni ya pamoja yaliyofikiwa na viongozi wa nchi hizo mbili.

    Pande hizo mbili pia zimebadilishana maoni kuhusu suala la nyukilia la peninsula ya Korea.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako