• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (19 Agosti-25 Agosti)

    (GMT+08:00) 2017-08-25 15:28:59

    Watu kumi na mmoja wauawa katika shambulio la Daech

    Askari tisa na raia wawili waliuawa Jumatano, kilomita 500 kusini mwa Tripoli nchini Libwa katika shambulio la wapiganaji wa kundi la Islamic State (IS).

    Askari wasiopungua tisa na raia wawili walikatwa vichwa katika shambulio lililodaiwa kutekelezwa na kundi la Islamic State dhidi ya ngome ya majeshi yanayomtii Marshal Khalifa Haftar.

    Kwa mujibu wa Kanali Ahmed al-Mesmari, msemaji wa kundi la wapiganaji wa NLA linalomtii Marshal Haftar shambulio hilo lilifanyika mapema alafajiri katika eneo la al-Joufra, kilomita 500 kusini mwa Tripoli.

    Wapiganaji wa kundi la NLA walikua walidhibiti eneo hilo mapema mwezi wa Juni.

    Lakini mapigano yanaendelea kati ya makambi mawili karibu na wilaya ya Soug al-Hout.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako