• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (19 Agosti-25 Agosti)

    (GMT+08:00) 2017-08-25 15:28:59

    Chad yakata uhusiano na Qatar

    Wizara ya mambo ya nje ya Chad imetoa taarifa wiki hii ikitangaza kusimamisha uhusiano wa kidiplomasia na Qatar.

    Taarifa inasema, uamuzi huo unatokana na Qatar kuunga mkono kundi la kigaidi nchini Libya linalojaribu kuvuruga utulivu wa Chad.

    Pia imeitaka Qatar kufunga ubalozi wake nchini humo na kuondoa wafanyakazi wake ndani ya siku 10.

    Taarifa hiyo pia imetoa wito kwa Qatar kuacha vitendo vinavyotishia usalama wa Chad na nchi nyingine za kanda ya Sahel.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako