• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (14 Oktoba-20 Oktoba)

    (GMT+08:00) 2017-10-20 17:27:55
     

    Jeshi la SDF laukomboa mji wa Raqqa kutoka kwa kundi la IS

    Jeshi la Syria SDF limeutwaa mji wa kaskazini wa Raqqa nchini Syria, baada ya kulishinda kundi la IS. Msemaji wa SDF amesema operesheni ya kuukomboa mji wa Raqqa imemalizika, jeshi la Syria sasa lina kazi ya kuvisaka vikundi vidogo vilivyobakia na mabomu, na hivi karibuni watatoa taarifa rasmi kuhusu kukombolewa kwa mji huo.

    Habari zaidi zinasema watu 3,250 wakiwemo raia 1,130, wameuawa katika kipindi cha miezi minne ya mapambano ya kuukomboa mji wa Raqqa. Wanawake na watoto ni miongoni mwa raia waliouawa. Asilimia 80 ya mji wa Raqqa imeharibiwa kwenye mapambano.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako