• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Februari 3-Februari 9)

    (GMT+08:00) 2018-02-09 17:54:15

    China yasema tathmini ya msimamo wa nyuklia wa Marekani umechepuka kutoka kwenye amani na maendeleo

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Geng Shuang amesema, Tathmini ya Msimamo wa Nyuklia ya Marekani (NPR) ina nadharia ya Vita Baridi, na imejitoa kwenye amani na maendeleo.

    Geng Shuang amesema, waraka uliotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani umelenga siasa za kijiografia na ushindani kati ya nchi kubwa, umeweka msisitizo kwenye nafasi ya silaha ya nyuklia kwenye sera za usalama, na kupuuza wito wa kutokuwa na silaha za nyuklia.

    Amesema kwa kuwa Marekani inaongoza duniani kwa kuwa na silaha kubwa na za kisasa zaidi za nyuklia, hatua ya nchi hiyo kuongeza nguvu yake ya nyuklia itasababisha mkakati usio wa uwiano wa dunia.

    Hivi karibuni Wizara ya Ulinzi ya Marekani ilitoa waraka unaochukuliwa kama kanuni ya mwongozo kwa sera za baadaye nchini humo inayotaka kuongeza nguvu ya nyuklia ya nchi hiyo.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako