• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 10-March 16)

  (GMT+08:00) 2018-03-16 20:20:17

  Jeshi la Somalia lawaua wapiganaji 7 wa Al-Shabaab

  Jeshi la Somalia limewaua wapiganaji 7 wa kundi la Al-Shabaab mjini Kismayu, Kusini mwa nchi hiyo.

  Kamanda wa jeshi la serikali mjini Kismayu, Bw. Mukhtar Abdi amesema, operesheni hiyo ya kijeshi imefanywa baada ya jeshi hilo kupata habari kuwa kundi la Al-Shabaab linapanga kufanya mashambulizi katika eneo la Wirkoy.

  Bw. Abdi pia amesema, askari mmoja wa jeshi hilo amejeruhiwa katika operesheni hiyo, na mapambano dhidi ya kundi la Al-Shabaab kusini mwa nchi hiyo yataendelea.

  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako