• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 31-Aprili 6)

  (GMT+08:00) 2018-04-06 20:02:35

  Miili ya wanajeshi nane wa Uganda waliouawa Somalia imerejeshwa nyumbani

  Miili ya wanajeshi wanane wa Uganda waliouawa katika shambulio lilitekelezwa na kundi la Al shabaab imerejeshwa nyumbani na kukabidhiwa familia zao kwa maziko.

  Kwa mjibu wa msemaji wa jeshi la UPDF idadi wanajeshi wa Uganda waliouawa imeongeza hadi nane, baada ya wajeruhiwa wanne kufariki.

  Jeshi la Uganda linasema zaidi ya wapiganaji 30 wa Al shabaab waliuawa katika shambulio la Jumapili.

  Bendi ya jeshi la UPDF walipokea miili ya wanajeshi wa Uganda katika uwanja wa kijeshi wa Entebbe.

  Licha ya maafa hayo ya wanajeshi wa Uganda kutokea, jeshi la Uganda limeapa kuendelea na juhudi zake za kulinda amani nchini Somalia chini ya kikosi cha AMISOM.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako