• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Julai30-Agosti 3)

    (GMT+08:00) 2018-08-03 19:36:59

    Ethiopia yakamata watuhumiwa 108 wa vurugu

    Kikosi cha usalama cha jimbo la Benishangul Gumuz, Ethiopia kimewakamata watuhumiwa 108 wa vurugu zilizotokea mwezi wa Mei na kusababisha vifo vya watu 10.

    Ofisa habari wa jimbo hilo Bw. Shiferaw Chelibo amesema, kazi ya maandalizi ya mashtaka dhidi ya watuhumiwa hao wakiwemo polisi 20, imemalizika, na wamepandishwa kizimbani kwa ajili ya kusikiliza kesi zao.

    Habari zinasema, watu wa mji mkuu wa jimbo hilo, Assosa walishuhudia mapambano makali ya kikabila kati ya makabila ya kienyeji na mengine yanayoishi huko.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako