• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Julai30-Agosti 3)

    (GMT+08:00) 2018-08-03 19:36:59

    Jeshi la Syria ladhibiti mji wa mwisho unakaliwa na kundi la IS nchini Syria

    Jeshi la Syria wiki hii limedhibiti mji wa Qusair uliokuwa unakaliwa na kundi la IS ulioko mkoani Daraa, kaskazini magharibi mwa Syria.

    Kituo cha Televisheni cha Syria kimeripoti kuwa, kutokana na kudhibitiwa kwa mji huo, eneo zima la bonde la Yarmouk ambalo lilikuwa chini ya udhibiti wa IS, limeshikiliwa tena na jeshi la Syria, ambalo kwa sasa linawasa wapiganaji wa kundi hilo waliokimbia mapigano.

    Mafanikio hayo yanamaanisha kuwa jeshi hilo limedhibiti sehemu ya kusini magharibi ya eneo la kusini, kwa kuwa jeshi limeingia kwenye maeneo karibu na mkoa wa Quneitra chini ya makubaliano na waasi yaliyosimamiwa na Russia mwishoni mwa mwezi uliopita.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako