• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 1-Septemba 7)

  (GMT+08:00) 2018-09-07 18:54:59

  Chama cha watengezaji bidhaa nchini Kenya kimeonya kuwa hatua hii itaathiri ajenda kuu nne za rais na wanataka ifutwe.

  Kutoka na kodi hiyo mpya ya asilimia 16 kwa bidhaa za mafuta sasa lita moja ya petroli itauzwa takriban shilingi 127.80 mjini Nairobi kutoka shilingi 113 huku mafuta ya dizeli yakiuzwa shilingi 115 na mafuta taa shilingi 97.

  Lakini pia bei hizo zitakuwa juu sehemu zilizo mbali na Nairobi na hasa magharibi mwa nchi na chini kidogo kwenye mji wa Mombasa na sehemu zilizo karibu


  1  2  3  4  5  6  7  8  9  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako