• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 16-March 22)

  (GMT+08:00) 2019-03-22 20:05:10

  Sudan yakumbwa na maandamano mapya

  Wananchi wenye hasira nchini Sudan wamemiminika mitaani Jumatatu katika mji mkuu Khartoum, kwa mujibu wa mashahidi, ili kuendelea na maandamano yaliyoanzishwa Desemba 19 dhidi serikali ya rais Omar al-Bashir.

  Jumatatu, waandamanaji wameandamana katika eneo la Bahari, kaskazini mwa mji mkuu, na katika mtaa wa 60 mjini Khartoum, mashahidi wamesema. Polisi wametumia mabomu ya machozi dhidi ya waandamanaji waliokuwa wakiandamana katika mtaa wa 60.

  Wanafunzi pia wameandamana katika chuo kikuu cha mji wa Khartoum, kwa mujibu wa mashahidi.


  1  2  3  4  5  6  7  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako