• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (March 16-March 22)

  (GMT+08:00) 2019-03-22 20:05:10

  Jeshi la Somalia ladhibiti tena mji wa Bal'ad uliokaliwa na kundi la Al-Shabaab

  Jeshi la serikali ya Somalia limechukua tena udhibiti wa mji wa Bal'ad ulioko kilomita 30 kaskazini mwa mji mkuu wan chi hiyo, Mogadishu mapema , baada ya wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab kuukalia mji huo.

  Wakazi wa mji huo wamesema, wapiganaji hao waliondoka kwenye mji huo muhimu baada ya saa kadhaa za mapambano kati ya wapiganaji hao na askari wa jeshi la Somalia.

  Hakuna taarifa rasmi zilizotolewa na jeshi la Somalia, lakini kundi la Al-Shabaab limedai kudhibiti baadhi ya maeneo ya mji huo na kuchoma moto magari ya kivita.


  1  2  3  4  5  6  7  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako