• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (July 6-July 12)

  (GMT+08:00) 2019-07-12 19:54:33

  Utawala wa kijeshi wazima jaribio la mapinduzi Sudan

  Utawala wa mpito unaoongoza kijeshi nchini Sudan umesema umezima jaribio la mapinduzi nchini humo.

  Akitangaza kupitia Televisheni ya Taifa ya nchi hiyo ijumaa, msemaji wa Jeshi Jenerali Jamal al-Din Omar Ibrahim amesema maafisa kadhaa wa jeshi wamekamatwa, akiwemo kiongozi wa jaribio hilo.


  1  2  3  4  5  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako