• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Machi 14-Machi 20)

    (GMT+08:00) 2020-03-20 19:16:55

    Shule, makanisa, misikiti na sehemu za burudani zimefungwa Afrika Mashariki.

    Kama hatua ya kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona, mataifa ya Afrika Mashariki yamefunga shule zote, kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu kwa angalau siku 30.

    Nchini Kenya, Rais Uhuru Kenyatta alitoa agizo kuwa wafanyikazi wamepewa fursa ya kufanyia kazi zao nyumbani na kufutilia huku makongamano yote yakifutiliwa mbali.

    Viongozi wa makanisa mbali mbali nao wamesitiosha ibada zao kuanzia Jumapili hii kwa muda wa siku thelathini. Wakulima wa maua hapa nchini Kenya nao wameanza kuhisi makali ya virusi vya corona baada ya kukosa kusafirisha mazao yao nje ya nchi huku mataifa mbalimbali yakiendelea kupiga marufuku safari za ndege kuzuia kusambaa kwa maradhi hayo. Wakulima sasa wanahofia kuwa huenda wakapata hasara kubwa kwa kukosa soko.


    1  2  3  4  5  6  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako