• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Machi 14-Machi 20)

  (GMT+08:00) 2020-03-20 19:16:55

  Mgonjwa wa kwanza wa Corona Tanzania aomba radhi, aizungumzia hali yake.

  Mgonjwa wa kwanza wa virusi vya corona nchini Tanzania Isabela Mwampamba amezungunza kwa njia ya simu na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu mbele ya Wanahabari na kusema anaendelea vizuri huku akiwatoa hofu Watanzania na kuwaomba msamaha kwa kuwa mgonjwa wa kwanza wa corona Tanzania. Haya yalijiri siku ya Jumatano wiki hii.


  1  2  3  4  5  6  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako