• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Machi 14-Machi 20)

  (GMT+08:00) 2020-03-20 19:16:55

  Msanii kutoka Congo Aurlus Mabele afariki dunia kwa ugonjwa wa Kiharusi akiwa jijini Paris.

  Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya Soukous Aurlus Mabele kutoka nchini Congo amefariki dunia jijini Paris nchini Ufaransa akiwa na miaka 67 huku chanzo cha kifo chake kikielezwa kusababishwa na kiharusi licha ya kusemekana kusumbuliwa na Saratani ya Koo kwa miaka kadhaa sasa.

  Kwa mujibu wa ripoti, kifo cha Mabele kimetokana na kiharusi na Taarifa hiyo imetolewa na msanii mwenzake wa LOKETO Nyboma Mwandido. Baadhi ya vibao vyake vinavyopendwa ni Africa Soukous, Betty, Loketo…nk.


  1  2  3  4  5  6  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako