• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Agosti 22-Agosti 28)

    (GMT+08:00) 2020-08-28 15:34:56

    Uingereza kulipa pauni 13 kwa siku kwa watu walio na mapato cha chini

    Watu walio kwenye kipato cha chini waliulizwa kujitenga kwa sababu wao au watu walio wasiliana nao wamepatika na virusi baada ya kupimwa aidha wameambiwa watalipwa ili kukaa nyumbani, chini ya mipango iliyotangazwa na serikali.

    Faida mpya ya kupimwa, ambayo italipwa tu kwa watu walio katika maeneo yaliyotengwa kwa kuzuka kwa janga la corona, thamani yake ni pauni 182 kwa kipindi cha kutengwa cha siku 14 na inaanzishwa kwa lengo la kuhakikisha watu wanaweza kujimidu hata baada ya kukosa kwenda kazi.

    Wakati huo huo, India imeripoti rekodi nyingine ya siku moja ya visa vipya vya coronavirus, ikiripoti maambukizi mapya 75,760 yaliyothibitishwa katika masaa 24 iliyopita. Wizara ya Afya Alhamisi pia ilirekodi vifo 1,023 katika masaa 24 yaliyopita, ikichukua jumla ya vifo hadi 60,472.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako