• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Agosti 22-Agosti 28)

    (GMT+08:00) 2020-08-28 15:34:56

    Ujerumani kupiga marufuku matukio makuu kuzuia kuenea kwa corona

    Ujerumani inaangali kuongeza muda wa kufanyika kwa matukio makuu nchini kuzuia kuenea kwa Corona

    Kupigwa kwa marufuku kwa matukio makuu nchini Ujerumani inaweza kuongezeka hadi mwisho wa mwaka kama sehemu ya kupunguza kueneza kwa Corona.

    Pendekezo hilo pia ni pamoja na kikomo kwenye mikusanyiko ya kibinafsi kwa watu 50 na faini ya chini ya euro 50 kwa yeyote yule hajavaa barakoa ambapo ni lazima.

    Kufikas sasa idadi ya kesi za corona zilizothibitishwa nchini zimeongezeka kwa 1,507 hadi 237,936, data kutoka Taasisi ya Robert Koch (RKI) ya magonjwa ya kuambukiza.

    Idadi ya vifo iliyoripotiwa kuongezeka na kufikia 9,285.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako