• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Manunuzi kwenye mtandao wa internet
    Hapa China kuna hali moja ambayo inaonekana mara kwa mara, maendeleo ya kasi si kama tu yapo kwenye uchumi, bali pia yapo katika biashara na mambo ya kijamii. Kwa sasa mabadiliko kiasi yametokea katika manunuzi kwenye mtandao wa internet, hali imekuwa tofauti na siku kadhaa zilizopita.
    • "Burudani" ya muziki kwenye vyombo vya usafiri wa umma
    Unaposafiri kwenye daladala au matatu kutoka nyumbani kwenda kazini, kuna uwezekano mkubwa kuwa unaweza kupata "burudani" ya muziki. Muziki unaoweza kuanza toka kituo cha kwanza hadi cha mwisho. Na kuna wakati muziki huo unasikika kwa sauti kubwa kupita kiasi. Lakini hali inavyokuwa kwenye vyombo vya usafiri hapa China ni tofauti kabisa kwenye vyombo vya usafiri hapa Beijing, hasa usafiri wa umma.
    • Mambo kuhusu tamthilia ya Doudou na Mama wakwe zake
    Mhusika mkuu wa tamthilia ya Doudou na Mama wakwe zake, Mao Doudou, anakutana na changamoto nyingi, lakini kutokana na busara alizonazo ameweza kuzimudu changamoto hizo na kupendwa na watu wote wanaomzungumka.
    • Wasanii wawili walioweka sauti kwenye tamthilia ya Doudou na Mama wakwe zake waelezea maisha ya kawaida
    Watu wawili walioshiriki kuweka sauti kwenye tamthilia ya Doudou na Mama wakwe zake, ambao ni Mama Chen, aliyeweka sauti ya mama wa Doudou, na Bibi Aisha Kiteme kutoka Kenya aliyeweka sauti ya mama wa Yu Wei, wanaeleza maisha ya kawaida.
    • Tamthilia ya kwanza iliyowekwa sauti ya lugha ya Kiswahili kutoka Kichina
    Tamthilia ya Doudou na Mama wakwe zake imetafsiriwa kutoka lugha ya Kichina kuwa lugha ya Kiswahili, hii ni mara ya kwanza katika historia ya mawasiliano ya kiutamaduni kati ya China na Tanzania, ni hatua iliyofanya mawasiliano ya kiutamaduni kati ya China na Tanzania au China na nchi nyingine za Afrika yafikie katika kiwango kipya.
    • Walimu na wazazi wanavyoshirikiana kuwafundisha watoto
    Shule za msingi zilifunguliwa mwanzoni mwa mwezi Septemba na sasa watoto, wanafunzi na walimu wanaendelea na pilika za shule.
    • China machoni mwa Mzanzibar
    Mgeni kutoka Zanzibar Bw. Makame Abdallah ambaye kwa muda mfupi aliokuwepo hapa China amebahatika kutembelea sehemu mbalimbali na kuona kitu ambacho kipo karibu katika kila mji wa China.
    • Shughuli za "Xinjiang through my lens"
    Kulikuwa na shughuli iliyofanyika kule Xinjiang iitwayo "Xinjiang through my lens", ambako mwenzetu Han Mei aliambatana na wageni wawili kutoka Kenya kwenda kupiga picha huko, katika kipindi hiki Wakenya hao wataeleza waliyokuwa wanayaona mkoani Xinjiang.
    prev 1 2 3 4 5 6
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako